UP SIDE DOWN HOUSE

Huyu jamaa amethibitisha ule usemi usemao "Nothing is Impossible" kwa kushusha hilo jumba lake huko ugaibuni.Hvi si unaweza kudhania huyu jamaa ni chizi?au? Lakini hayo ndyo mambo ya ketnologia.