Shida vijijini

Ndugu zetu vijijini wanateseka sana katika pilika pilika zao za kila siku haswa ikifika wakati wa masika.Ebu imagine kwa wanafunzi wanaokutana na msuko suko kama huu, sasa madaftari kwa bahati mbaya yakadondokea huko kwenye maji??au usipo report shule?? Bongo tuna safari ndefu mbele yetu.