MUONEKANO WA NATIONAL STADIUM KUTOKEA ANGANI

Huu ndiyo muonekano wa uwanja wetu wa taifa.Hii picha nimeichukua hapa juzi nilipo tembelea Tanzania kwenye vekesheni fupi.