Ubunifu wa mabango

Hili bango nilikutananalo katika pita pita zangu mtaani Ugaibuni. Tuwe creative jamani..