Enzi zangu pale mjini Bangalore

Hapa nikiwa na Mdau wa Blog hii kushoto kwangu Sylvester Amon tukiwa mitaa ya MG Road,Bangalore.Tulikuwa tunafanya window shopping kwaajili ya world cup 2006 ghafla tukakutana na hii advertisement ya nike.