Wadau Usingizi unapatikana kweli hapa???Kitabu kikidondoka ghafla usiku??
Sasa hili ni kosa la Architect au Mwenye nyumba???Ntaomba mnijibu hlo wadau.
MAVUNDE AIAGIZA TUME YA MADINI KUWASILISHA ORODHA YA WAZALISHAJI WA MADINI
ILI KUWAKUTANISHA NA BENKI RAFIKI
-
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma.
SERIKALI imeiagiza Tume ya Madini kuwasilisha orodha ya wazalishaji wote
waliopo nchini ili iweze kuwasaidia kuwakuta...
1 hour ago

