Huyu jamaa amethibitisha ule usemi usemao "Nothing is Impossible" kwa kushusha hilo
jumba lake huko ugaibuni.Hvi si unaweza kudhania huyu jamaa ni chizi?au?
Lakini hayo ndyo mambo ya ketnologia.
MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MAZISHI YA JENISTA MHAGAMA
-
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel
Nchimbi akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la
Perami...
20 minutes ago

